JUKUMU LA VIJANA KATIKA KUFUFUA UCHUMI WA NCHI.
Kila uchao, uchumi wa taifa unazidi kuzorota. Bei ya bidhaa inazidi kupanda na kumkandamiza mwananchi wa kawaida. Lakini vijana wana uwezo, ndio wana uwezo wa kubadili hali.
Idadi ya vijana ni kubwa sana hapa nchini Kenya. Wapo vijana wanaohitimu kila mwaka kutoka vyuo vikuu. Wapo wanaojihusisha na kazi za jua kali ambapo wanafanya ufundi mbali mbali, wapo wanaojihusisha na ukulima pamoja na mengine mengi.
Vijana wanaojihusisha na ukulima walifaidika na mradi huu ambapo baadae serikali itawanunulia bidhaa zao na kupitia mazoa watakayo kua wamekuza, bei za bidhaa zitaweza kupungua.
Vijana pia wanajihusisha na ufundi mbali mbali na kazi tofauti za mikono. Na kupitia kazi hizi, vijana wataweza kufaidika kwa mradi mwengine wa serikali wa ujenzi wa nyumba. Maelfu ya vijana watapata ajira na kupitia nafasi zile za ajira, wataweza kuchangia kwenye ulipaji wa kodi, jambo ambalo litachangia kufufua naa kukuza uchumi wa taifa.
Wengi wa vijana wamekua wakiishi na ukosefu wa kazi na kwa njia moja ama nyengine waliweza kuchangia kuzorota kwa uchumi wa nchi, kisa na maana wengi wao hawakua na kazi na kwa hivo ilikua ni changamoto kubwa sana kwao kuweza kulipa kodi. Lakini wapatapo ajira, wataweza kujikimu kimaisha, kulipakodi na kukuza uchumi wa taifa.
Halikadhalika, wapo vijana wanaohitimu kila uchao kwenye vyuo vikuu. Tumewaona vijana walio na ubunifu wa Hali ya juu. Tumeshuhudia wengine walio na vipaji ambavyo vimewawezesha kuwaajiri hata na vijana wenzoa. Hii inachangia ukuzaji wa uchumi, kwani wao na wale waliowaajiri wanakua kwenye nafasi ya kuweza kujitegemea na kulipa ushuru kwa nchi. Hii ama kwa hakika, inachangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi wa nchi/taifa.
By Steve Kinyanjui
Good one
ReplyDeleteGood job
ReplyDeleteKazi nzuri👍
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteNice article 👌
ReplyDeleteFantastic
ReplyDeleteWell explained
ReplyDeleteNzuri sana
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKaz murua
ReplyDeleteKubwa
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteBora
ReplyDeleteKazi safi kaka
ReplyDeleteKuntu kaka
ReplyDeleteNakala nzuri.
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletekazi nzuri
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteNice article
ReplyDeleteWell written
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteNice one
ReplyDelete🤝
DeleteKazi safi kabisa
ReplyDeleteGreat 👌
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDelete🤝
DeleteKazi safi
ReplyDelete🤝
DeleteKazi safi
ReplyDeleteNakala safi
ReplyDelete🤝
DeleteEndelea kutupa motisha na moyo wa kujihusisha na kilimo sisi kama vijana. Good job
ReplyDelete🤝
DeleteHongera
ReplyDelete🤝
DeleteKazi kuntu
ReplyDelete🤝
DeleteWell articulated
ReplyDelete🤝
Delete