MAKOVU YATAKAYODUMU MILELE.
Jumapili ya tarehe 14 Juni 2014, ni tarehe iliyojaa kumbukumbu za jamaa ndugu na marafiki, waliopoteza maisha yao huko Mpeketoni kaunti ya Lamu, kwenye mashambukizi ya kigaidi.
Jumapili hii, kama siku zingine, wakazi wa Mpeketoni waliamka na kuanza shughuli zao za asubui kabla ya kwelekea kanisani, wasijue kilichowasubiri usiku ule. Hasara ya mali ya fedha nyingi, kulala kwa baridi na baya zaidi, kuwapoteza wapendwa wao.
Kwa hakika, jambo usilolijua nikama usiku wa kiza. Laiti wangejua walichopangiwa usiku ule, kwani wangenusuru maisha ya wengi waliouawa na kuwacha familia zao zikitaabika. Watoto waliachwa yatima, kina mama wakasalia wajane, kwa makosa wasiokuwanayo baba na waume zao. Majeraha walio nayo moyoni, yamesalia kuwa makovu, yasiosahaulika.
Ilikua ni mwendo wa saa kumi na mbili unusu jioni, wakati kundi la watu arubaini walioshukiwa kuwa kundi la wanamgambo wa Al-shabab waliingia mji wa Mpeketoni. Kundi hili, lilitumia magari matatu, mawili yakiwa aina ya 'Nissan' huku moja likiwa aina ya 'pick-up.'
Majambazi hao walikita kambi kando ya mji huo, huku wananchi wakiwaona ila wasijue wala kushuku kwamba walikua Majambazi.
Ilipowadia mwendo wa saa mbili unusu usiku, majambazi hao walijitawanya katika vikundi vikwili, ambapo kundi la kwanza liliingia nyumba kwa nyumba likitekeleza mauaji, huku kundi la pili likiwafyatulia risasi wakazi waliokua wakitembea na wengine waliokua wakitazama mpira wa Dunia (World Cup). Nyumba na magari pia hazikusazwa, kwani waliziteketeza bila kujali.
Zaidi ya watu 60 walipoteza maisha yao, huku idadi kubwa ikiwa jamii ya wakikuyu. Chakusikitisha zaidi ni kwamba, wote waliouawa usiku ule walikua ni wanaume na wakristo.
Baada ya kutekeleza mauaji hayo, wanamgambo hao wa Al-shabab waliyachoma magari yote matatu waliosafiria, na kutokomea kwenye msitu wa Boni.
Mungu azidi kuzilaza roho za waliotuwacha mahali pema peponi.
By Steve Kinyanjui
Nice article🔥🔥🔥🔥
ReplyDeleteThanks a lot
DeleteKazi nzuri🔥
ReplyDeleteAsante
DeleteKazi njema
ReplyDeleteSantee
DeleteHeko, ijapokuwa nasisitiza ujifunze kuwa mhariri wa kazi yako kabla ya kuichapisha.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteNoted
Deletesad story but niece one...good job
ReplyDeleteThanks a lot
DeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSantee
DeleteShukran
DeleteKazi safi kama🔥
ReplyDeleteKazi safi bro, unatukumbusha ndugu zetu walioangamia katika shambulizi Hilo na kamwe hatutalisahau.
ReplyDeleteIndeed hatutosahau. Mungu azidi kuzilaza roho zao mahala pema peponi.
DeleteManze this touching
ReplyDeleteThanks
DeleteWe will always remember them😭 nice work my brother
ReplyDeleteSure. Thanks a lot
DeleteKazı safi bro💃
ReplyDeleteShukran sana
DeleteKazi safi
ReplyDeleteI just love the article
ReplyDeleteThanks bro
DeleteSo sad...RIP to all the souls we lost
ReplyDeleteSure bro
DeleteNice one
ReplyDeleteThanks
DeleteNice bro 👍
ReplyDeleteThanks man
DeleteSome scars really last 4ever
ReplyDeleteSure
DeleteVery informative nice work
ReplyDeleteThanks a lot bro
DeleteAmeen🙏.
ReplyDeleteKazi nzuri kaka.
Shukran sana dadangu
DeleteSo sad mahn
ReplyDeleteAnd painful indeed😭
DeleteKazi safi
ReplyDeleteShukran
DeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSantii
Delete👏👏
ReplyDelete👊
DeleteKisa cha kuliwaza
ReplyDeleteSantee
DeleteDonda dugu ... Inauma Sana Aiseee
ReplyDeleteKamwe halitotutoka ila kwa uwezo wa Mwenyezi Inshalaah
DeleteKudos.
ReplyDeleteThanks
DeleteKazi Safi bro..keep it up
ReplyDeleteShukran bro
DeleteUtunzi uliomakinika🔥🔥
ReplyDeleteUshasema kaka. Shukran
DeleteNice work
ReplyDeleteThanks
DeleteKazi nzuri
ReplyDeleteShukran
DeleteSo nice
ReplyDeleteThanks
DeleteThanks
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteThanks
DeleteKepp it up💪
ReplyDeleteNice man
DeleteNyc
ReplyDeleteShukran
DeleteSafi kaka
ReplyDeleteSafi kaka
DeleteKazi safi kabisaaah💯💯
ReplyDeleteSantii
DeleteKazi bora
ReplyDeleteShukran
DeleteKazi safi
ReplyDeleteShukran
DeleteSafi sana mtu wangu
ReplyDeleteSafi sanaa
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteUnaenda mbali. Kaza buti ipo siku
ReplyDelete